-<?xml version="1.0" ?><!DOCTYPE translationbundle><translationbundle lang="sw">
+<?xml version="1.0" ?>
+<!DOCTYPE translationbundle>
+<translationbundle lang="sw">
<translation id="2286950485307333924">Sasa umeingia katika Chrome</translation>
<translation id="8000275528373650868">Google Chrome inahitaji Windows Vista au Windows XP iliyo na SP2 au ya juu zaidi.</translation>
<translation id="1302523850133262269">Tafadhali subiri Chrome inaposakinisha sasisho mpya za mfumo.</translation>
<translation id="4149882025268051530">Kisanidi kimeshindwa kufungua saraka. Tafadhali pakua Google Chrome tena.</translation>
<translation id="7054640471403081847">Hivi karibuni kompyuta yako itaacha kupokea sasisho za Google Chrome kwa sababu maunzi yake hayatumiki tena.</translation>
<translation id="6989339256997917931">Google Chrome imesasishwa, lakini hujaitumia kwa angalau siku 30.</translation>
-<translation id="2819695485001598945">Chrome haiwezi kuanzisha muunganisho wa faragha kwenye <strong><ph name="DOMAIN"/></strong>. Labda hii ni kwa sababu tarehe ya kifaa chako haijawekwa sahihi. (Kifaa chako kina tarehe iliyowekwa <ph name="DATE"/>.) Unapaswa kuonyesha upya ukurasa huu baada ya kusasisha tarehe na saa ya kifaa chako. Ili kuweka saa ya kifaa chako, nenda kwenye Mipangilio > Jumla > Tarehe na Saa.</translation>
<translation id="7060865993964054389">Kizinduzi cha Programu za Chrome</translation>
<translation id="1682634494516646069">Google Chrome haiwezi kusoma na kuandika kwenye saraka yake ya data: